{"id":18105,"date":"2026-09-04T22:57:27","date_gmt":"2026-09-04T20:57:27","guid":{"rendered":"https:\/\/kivuavenir.com\/sw\/?p=18105"},"modified":"2026-09-04T22:57:27","modified_gmt":"2026-09-04T20:57:27","slug":"uswisi","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/kivuavenir.com\/sw\/uswisi\/","title":{"rendered":"RDC: Akiteuliwa kwa shurti na utawala wa AFC\/M23, mtafiti wa congo aomba msaada wa Serkali kutoka ukimbizini Uswisi Athari za mgogoro wa usalama mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo (RDC) sasa zimefika kwenye uwanja wa kimataifa."},"content":{"rendered":"<p>Akiwa amekwama katika eneo linalotawaliwa na waasi katika jimbo la Kivu ya Kaskazini wakati wa uteuzi huo, msomi huyo anaeleza kuwa hakuweza kupinga uamuzi huo papo hapo kwa sababu maisha na usalama wake vilikuwa hatarini.<\/p>\n<p>Akiwa salama sasa nchini Uswisi, anakataa kabisa uamuzi huo wa kulazimishwa na anaiomba serkali ya Kinshasa kuzingatia mazingira ya hofu na vitisho aliyokuwa akiishi chini yake.<\/p>\n<p>Kati ya shurti za kisilaha na haki za kazi<br \/>\nJambo hili linadhihirisha tena hatari wanayokumbana nayo wasomi na raia waliotekwa katika maeneo ya mgogoro kwenye<br \/>\nUkanda wa Maziwa Makuu.<\/p>\n<p>Katika ombi lake alilotuma kwa mamlaka husika, mtafiti huyo ametoa maombi makuu matatu:<\/p>\n<p>-Kutambuliwa rasmi kwa hali ya shuruti na shinikizo iliyozunguka uteuzi wake uliofanywa na viongozi wa M23.<\/p>\n<p>-Kurekebishwa mara moja kwa hali yake ya kiutawala ndani ya mfumo wa elimu ya juu nchini congo.<br \/>\n&#8211; Kurejeshwa na kulipwa kwa madai ya mishahara yake, iliyositishwa kufuatia tukio hilo.<br \/>\nKwa kuwasilisha swala hili kutoka Barani Ulaya, Profesa Bengea Matchozi D\u00e9o anakusudia kuhamasisha jamii ya kimataifa kuhusu vitisho vinavyofanywa na makundi ya silaha dhidi ya wasomi na watumishi wa serikali waliobaki katika maeneo yanayotawaliwa na waasi.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Akiwa amekwama katika eneo linalotawaliwa na waasi katika jimbo la Kivu ya Kaskazini wakati wa uteuzi huo, msomi huyo anaeleza kuwa hakuweza kupinga uamuzi huo papo hapo kwa sababu maisha na usalama wake vilikuwa hatarini. Akiwa salama sasa nchini Uswisi, anakataa kabisa uamuzi huo wa kulazimishwa na anaiomba serkali ya Kinshasa kuzingatia mazingira ya hofu [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":31,"featured_media":18106,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"jnews-multi-image_gallery":[],"jnews_single_post":{"format":"standard","override":[{"template":"1","parallax":"1","fullscreen":"1","layout":"right-sidebar","sidebar":"default-sidebar","second_sidebar":"default-sidebar","sticky_sidebar":"1","share_position":"float","share_float_style":"share-normal","show_share_counter":"1","show_view_counter":"1","show_featured":"1","show_post_meta":"1","show_post_author":"1","show_post_author_image":"1","show_post_date":"1","post_date_format":"default","post_date_format_custom":"Y\/m\/d","show_post_category":"1","show_post_reading_time":"1","post_reading_time_wpm":"300","post_calculate_word_method":"str_word_count","show_zoom_button":"0","zoom_button_out_step":"2","zoom_button_in_step":"3","show_post_tag":"1","show_prev_next_post":"1","show_popup_post":"1","show_comment_section":"1","number_popup_post":"1","show_author_box":"0","show_post_related":"0","show_inline_post_related":"0"}],"image_override":[{"single_post_thumbnail_size":"crop-500","single_post_gallery_size":"crop-500"}],"trending_post_position":"meta","trending_post_label":"Trending","sponsored_post_label":"Sponsored by","disable_ad":"0","subtitle":"Akiwa mkimbizi nchini Uswisi, Profesa Bengea Matchozi D\u00e9o amevunja kimya na kulitolea wito moja kwa moja Wizara ya Elimu ya Juu na Vyuo Vikuu (ESU) nchini congo ili kurejeshewa haki zake za kiutawala na mshahara wake, vilivyo sitishwa baada ya kuteuliwa kwa lazima na kundi la waasi la M23."},"jnews_primary_category":[],"jnews_social_meta":[],"jnews_review":[],"enable_review":"","type":"percentage","name":"","summary":"","brand":"","sku":"","good":[],"bad":[],"score_override":"","override_value":"","rating":[],"price":[],"jnews_override_counter":{"view_counter_number":"0","share_counter_number":"0","like_counter_number":"0","dislike_counter_number":"0"},"jnews_post_split":{"post_split":[{"template":"1","tag":"h2","numbering":"asc","mode":"normal","first":"0","enable_toc":"0","toc_type":"normal"}]},"footnotes":""},"categories":[5311,5314,5312],"tags":[5606,5605],"class_list":["post-18105","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-international","category-news","category-justice","tag-profesa-bengea-matchozi-deo","tag-uswisi"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/kivuavenir.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/18105","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/kivuavenir.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/kivuavenir.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/kivuavenir.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/31"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/kivuavenir.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=18105"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/kivuavenir.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/18105\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":18107,"href":"https:\/\/kivuavenir.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/18105\/revisions\/18107"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/kivuavenir.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media\/18106"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/kivuavenir.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=18105"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/kivuavenir.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=18105"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/kivuavenir.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=18105"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}