RDC: “Mkishaziona mashine zangu katika migodi ya dhahabu Ituri, zichomeni moto” – Luteni Jenerali Luboya N’kashama awaambia wakazi wa Bunia
Katika hotuba aliyotoa mbele ya wakazi wa Bunia, mji mkuu wa Ituri, Jenerali Luboya alisema: “Kama mkiona mashine zangu katika...