Kenya: Kiatu Charushwa Kwa Rais William Ruto Katika Mkutano wa Hadhara Taharuki Yazuka, Uchunguzi Waendelea
Ingawa kiatu hicho hakikumpata Rais Ruto, tukio hilo lilisababisha mchanganyiko wa muda mfupi, liki wazalimisha maafisa wa usalama wa rais ...