Kulingana nazo duru za Karibu ya ikulu ya liwali wa Jimbo Kivu kusini,chini ya usimamizi wa AFC-M23, Viombo via kukarabati vili pelekwa kupitiya bandari SNCC pa Bukavu,kwa usimamizi wa inspecta mkuu wa AFC-M23.
Liwali kwa muda chini ya usimamizi wa AFC-M23, Dunia Masumbuko Bwenge Doux ali pongeza watalamu watakao endesha kazi hiyo,na kua omba kuweza kutekeleza mradi yenyewe ambao ita ruusu kuuganisha mji wa Bukavu nao Goma, kupitiya njiya ya barabara.
Tukamilishe kwamba,muda wa kazi hizo haikutolewa. Ila duru huueleza kwamba kazi hizo za ukarabataji kunako barabara ya taifa nambari 2 pa Nyabibwe zita tekelezwa nao Ofice des routes ikishirikiyana nao AFC -M23.