DRC / Kivu Kusini : Bukavu yatangaza asubuhi ya maombolezo Jumatatu baada ya moto ulio ua wanafunzi Cimpunda
Katika taarifa rasmi N°401/BUR/M.BKV/1130/2026 iliyosainiwa Septemba 12, Meya wa jiji, Nicolas Kyalangalilwa Mulondani, anatangaza kuwa shughuli za shule, biashara na ...

































