RDC: Baada ya kupewa heshima Kinshasa kwa safari ya kihistoria ya baiskeli, Miguel Masaïsaï aendelea na safari ya amani kuelekea Brazzaville.
Kuendelea kwa safari hiyo kunajiri siku moja baada ya sherehe rasmi iliyofanyika mjini Kinshasa, ambapo mwanamichezo huyo mwenye asili ya ...




























