RDC: Akiteuliwa kwa shurti na utawala wa AFC/M23, mtafiti wa congo aomba msaada wa Serkali kutoka ukimbizini Uswisi Athari za mgogoro wa usalama mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo (RDC) sasa zimefika kwenye uwanja wa kimataifa.
Akiwa amekwama katika eneo linalotawaliwa na waasi katika jimbo la Kivu ya Kaskazini wakati wa uteuzi huo, msomi huyo anaeleza ...




























